Mathayo 16:7
Matthew 16:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakajadiliana wao kwa wao, wakisema, “Ni kwa sababu hatukuleta mikate.”
Matthew 16:7 in English
Matthew 16:7 · Berean Standard Bible
They discussed this among themselves and concluded, “It is because we did not bring any bread.”
Context
5Wanafunzi wake walipofika ngʼambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate. 6Yesu akawaambia, “Jihadharini. Jilindeni na chachu ya Mafarisayo na ya Masadukayo.” 7Wakajadiliana wao kwa wao, wakisema, “Ni kwa sababu hatukuleta mikate.” 8Yesu, akifahamu majadiliano yao, akauliza, “Enyi wa imani haba! Mbona mnajadiliana miongoni mwenu kuhusu kutokuwa na mikate? 9Je, bado hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano iliyolisha watu 5,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.