Mathayo 16:8
Matthew 16:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu, akifahamu majadiliano yao, akauliza, “Enyi wa imani haba! Mbona mnajadiliana miongoni mwenu kuhusu kutokuwa na mikate?
Matthew 16:8 in English
Matthew 16:8 · Berean Standard Bible
Aware of their conversation, Jesus said, “You of little faith, why are you debating among yourselves about having no bread?
Context
6Yesu akawaambia, “Jihadharini. Jilindeni na chachu ya Mafarisayo na ya Masadukayo.” 7Wakajadiliana wao kwa wao, wakisema, “Ni kwa sababu hatukuleta mikate.” 8Yesu, akifahamu majadiliano yao, akauliza, “Enyi wa imani haba! Mbona mnajadiliana miongoni mwenu kuhusu kutokuwa na mikate? 9Je, bado hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano iliyolisha watu 5,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya? 10Au ile mikate saba iliyolisha watu 4,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.