Mathayo 16:6
Matthew 16:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akawaambia, “Jihadharini. Jilindeni na chachu ya Mafarisayo na ya Masadukayo.”
Matthew 16:6 in English
Matthew 16:6 · Berean Standard Bible
“Watch out!” Jesus told them. “Beware of the leaven of the Pharisees and Sadducees.”
Context
4Kizazi kiovu na cha uzinzi kinatafuta ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ishara ya Yona.” Yesu akawaacha, akaenda zake. 5Wanafunzi wake walipofika ngʼambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate. 6Yesu akawaambia, “Jihadharini. Jilindeni na chachu ya Mafarisayo na ya Masadukayo.” 7Wakajadiliana wao kwa wao, wakisema, “Ni kwa sababu hatukuleta mikate.” 8Yesu, akifahamu majadiliano yao, akauliza, “Enyi wa imani haba! Mbona mnajadiliana miongoni mwenu kuhusu kutokuwa na mikate?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.