Native Bible

Matthew 15:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya kuaga ule umati wa watu, Yesu aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani.*

Matthew 15:39 in English

Matthew 15:39 · Berean Standard Bible

After Jesus had dismissed the crowds, He got into the boat and went to the region of Magadan.

Context

37Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. 38Idadi ya watu walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto. 39Baada ya kuaga ule umati wa watu, Yesu aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.