Native Bible

Matthew 15:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Idadi ya watu walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Matthew 15:38 in English

Matthew 15:38 · Berean Standard Bible

A total of four thousand men were fed, in addition to women and children.

Context

36Kisha akachukua ile mikate saba na wale samaki, naye akiisha kumshukuru Mungu, akavimega na kuwapa wanafunzi wake, nao wakawapa ule umati wa watu. 37Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. 38Idadi ya watu walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto. 39Baada ya kuaga ule umati wa watu, Yesu aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.