Mathayo 15:17
Matthew 15:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, hamwelewi kwamba chochote kiingiacho kinywani huenda tumboni, na hatimaye hutolewa nje kikiwa uchafu?
Matthew 15:17 in English
Matthew 15:17 · Berean Standard Bible
“Do you not yet realize that whatever enters the mouth goes into the stomach and then is eliminated?
Context
15Petro akasema, “Tueleze maana ya huu mfano.” 16Yesu akawauliza, “Je, bado ninyi hamfahamu? 17Je, hamwelewi kwamba chochote kiingiacho kinywani huenda tumboni, na hatimaye hutolewa nje kikiwa uchafu? 18Lakini kitokacho kinywani hutoka moyoni, na hiki ndicho kimtiacho mtu unajisi. 19Kwa maana ndani ya moyo hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na masingizio.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.