Native Bible

Matthew 15:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana ndani ya moyo hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na masingizio.

Matthew 15:19 in English

Matthew 15:19 · Berean Standard Bible

For out of the heart come evil thoughts, murder, adultery, sexual immorality, theft, false testimony, and slander.

Context

17Je, hamwelewi kwamba chochote kiingiacho kinywani huenda tumboni, na hatimaye hutolewa nje kikiwa uchafu? 18Lakini kitokacho kinywani hutoka moyoni, na hiki ndicho kimtiacho mtu unajisi. 19Kwa maana ndani ya moyo hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na masingizio. 20Haya ndiyo yamtiayo mtu unajisi; lakini kula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.” 21Yesu aliondoka mahali pale, akaenda sehemu za Tiro na Sidoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.