Native Bible

Matthew 15:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu aliondoka mahali pale, akaenda sehemu za Tiro na Sidoni.

Matthew 15:21 in English

Matthew 15:21 · Berean Standard Bible

Leaving that place, Jesus withdrew to the district of Tyre and Sidon.

Context

19Kwa maana ndani ya moyo hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na masingizio. 20Haya ndiyo yamtiayo mtu unajisi; lakini kula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.” 21Yesu aliondoka mahali pale, akaenda sehemu za Tiro na Sidoni. 22Mwanamke mmoja Mkanaani aliyeishi sehemu jirani na hizo akaja kwake akilia, akasema, “Nihurumie, Ee Bwana, Mwana wa Daudi! Binti yangu amepagawa na pepo mchafu, na anateseka sana.” 23Lakini Yesu hakumjibu neno. Hivyo wanafunzi wake wakamwendea na kumsihi sana, wakisema, “Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.