Mathayo 15:16
Matthew 15:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akawauliza, “Je, bado ninyi hamfahamu?
Matthew 15:16 in English
Matthew 15:16 · Berean Standard Bible
“Do you still not understand?” Jesus asked.
Context
14Waacheni; wao ni viongozi vipofu, wanaoongoza vipofu. Kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.” 15Petro akasema, “Tueleze maana ya huu mfano.” 16Yesu akawauliza, “Je, bado ninyi hamfahamu? 17Je, hamwelewi kwamba chochote kiingiacho kinywani huenda tumboni, na hatimaye hutolewa nje kikiwa uchafu? 18Lakini kitokacho kinywani hutoka moyoni, na hiki ndicho kimtiacho mtu unajisi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.