Mathayo 15:14
Matthew 15:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waacheni; wao ni viongozi vipofu, wanaoongoza vipofu. Kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.”
Matthew 15:14 in English
Matthew 15:14 · Berean Standard Bible
Disregard them! They are blind guides.* If a blind man leads a blind man, both will fall into a pit.”
Context
12Kisha wanafunzi wake wakamjia na kumuuliza, “Je, unajua kwamba Mafarisayo walichukizwa sana waliposikia yale uliyosema?” 13Akawajibu, “Kila pando ambalo Baba yangu wa mbinguni hakulipanda, litangʼolewa. 14Waacheni; wao ni viongozi vipofu, wanaoongoza vipofu. Kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.” 15Petro akasema, “Tueleze maana ya huu mfano.” 16Yesu akawauliza, “Je, bado ninyi hamfahamu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.