Mathayo 14:32
Matthew 14:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nao walipoingia ndani ya mashua, upepo ukakoma.
Matthew 14:32 in English
Matthew 14:32 · Berean Standard Bible
And when they had climbed back into the boat, the wind died down.
Context
30Lakini alipoona upepo mkali aliingiwa na hofu, naye akaanza kuzama, huku akipiga kelele, “Bwana, niokoe!” 31Mara Yesu akaunyoosha mkono wake na kumshika, akamwambia, “Wewe mwenye imani haba, kwa nini uliona shaka?” 32Nao walipoingia ndani ya mashua, upepo ukakoma. 33Ndipo wote waliokuwa ndani ya ile mashua wakamwabudu Yesu, wakisema, “Hakika, wewe ndiwe Mwana wa Mungu.” 34Walipokwisha kuvuka, wakafika nchi ya Genesareti.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.