Native Bible

Matthew 14:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipokwisha kuvuka, wakafika nchi ya Genesareti.

Matthew 14:34 in English

Matthew 14:34 · Berean Standard Bible

When they had crossed over, they landed at Gennesaret.

Context

32Nao walipoingia ndani ya mashua, upepo ukakoma. 33Ndipo wote waliokuwa ndani ya ile mashua wakamwabudu Yesu, wakisema, “Hakika, wewe ndiwe Mwana wa Mungu.” 34Walipokwisha kuvuka, wakafika nchi ya Genesareti. 35Watu wa eneo lile walipomtambua Yesu, walipeleka habari sehemu zote za jirani. Watu wakamletea wagonjwa wao wote, 36wakamsihi awaruhusu wagonjwa waguse tu pindo la vazi lake, nao wote waliomgusa, wakaponywa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.