Native Bible

Matthew 13:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yule adui aliyepanda magugu ni ibilisi. Mavuno ni mwisho wa dunia, nao wavunaji ni malaika.

Matthew 13:39 in English

Matthew 13:39 · Berean Standard Bible

and the enemy who sows them is the devil. The harvest is the end of the age, and the harvesters are angels.

Context

37Akawaambia, “Aliyepanda mbegu nzuri ni Mwana wa Adamu. 38Shamba ni ulimwengu na mbegu nzuri ni wana wa Ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu. 39Yule adui aliyepanda magugu ni ibilisi. Mavuno ni mwisho wa dunia, nao wavunaji ni malaika. 40“Kama vile magugu yangʼolewavyo na kuchomwa motoni, ndivyo itakavyokuwa wakati wa mwisho wa dunia. 41Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka Ufalme wake kila kitu kinachosababisha dhambi na watenda maovu wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.