Mathayo 13:38
Matthew 13:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shamba ni ulimwengu na mbegu nzuri ni wana wa Ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu.
Matthew 13:38 in English
Matthew 13:38 · Berean Standard Bible
The field is the world, and the good seed represents the sons of the kingdom. The weeds are the sons of the evil one,
Context
36Kisha Yesu akaagana na makutano, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamjia wakamwambia, “Tueleze maana ya ule mfano wa magugu shambani.” 37Akawaambia, “Aliyepanda mbegu nzuri ni Mwana wa Adamu. 38Shamba ni ulimwengu na mbegu nzuri ni wana wa Ufalme. Magugu ni wana wa yule mwovu. 39Yule adui aliyepanda magugu ni ibilisi. Mavuno ni mwisho wa dunia, nao wavunaji ni malaika. 40“Kama vile magugu yangʼolewavyo na kuchomwa motoni, ndivyo itakavyokuwa wakati wa mwisho wa dunia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.