Native Bible

Matthew 10:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa Mbinguni umekaribia.’

Matthew 10:7 in English

Matthew 10:7 · Berean Standard Bible

As you go, preach this message: ‘The kingdom of heaven is near.’

Context

5Hawa kumi na wawili, Yesu aliwatuma akawaagiza: “Msiende miongoni mwa watu wa Mataifa, wala msiingie mji wowote wa Wasamaria. 6Lakini afadhali mshike njia kuwaendea kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea. 7Wakati mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa Mbinguni umekaribia.’ 8Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo wachafu. Mmepata bure, toeni bure. 9Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.