Mathayo 10:9
Matthew 10:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu.
Matthew 10:9 in English
Matthew 10:9 · Berean Standard Bible
Do not carry any gold or silver or copper in your belts.
Context
7Wakati mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa Mbinguni umekaribia.’ 8Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo wachafu. Mmepata bure, toeni bure. 9Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu. 10Msichukue mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala jozi ya pili ya viatu, wala fimbo, kwa maana mtendakazi anastahili posho yake. 11“Mji wowote au kijiji chochote mtakapoingia, tafuteni humo mtu anayestahili, nanyi kaeni kwake mpaka mtakapoondoka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.