Native Bible

Matthew 10:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mji wowote au kijiji chochote mtakapoingia, tafuteni humo mtu anayestahili, nanyi kaeni kwake mpaka mtakapoondoka.

Matthew 10:11 in English

Matthew 10:11 · Berean Standard Bible

Whatever town or village you enter, find out who is worthy there and stay at his house * until you move on.

Context

9Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu. 10Msichukue mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala jozi ya pili ya viatu, wala fimbo, kwa maana mtendakazi anastahili posho yake. 11“Mji wowote au kijiji chochote mtakapoingia, tafuteni humo mtu anayestahili, nanyi kaeni kwake mpaka mtakapoondoka. 12Mkiingia kwenye nyumba, itakieni amani. 13Kama nyumba hiyo inastahili, amani yenu na iwe juu yake. La sivyo, amani yenu na iwarudie ninyi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.