Mathayo 10:12
Matthew 10:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mkiingia kwenye nyumba, itakieni amani.
Matthew 10:12 in English
Matthew 10:12 · Berean Standard Bible
As you enter the home, greet its occupants.*
Context
10Msichukue mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala jozi ya pili ya viatu, wala fimbo, kwa maana mtendakazi anastahili posho yake. 11“Mji wowote au kijiji chochote mtakapoingia, tafuteni humo mtu anayestahili, nanyi kaeni kwake mpaka mtakapoondoka. 12Mkiingia kwenye nyumba, itakieni amani. 13Kama nyumba hiyo inastahili, amani yenu na iwe juu yake. La sivyo, amani yenu na iwarudie ninyi. 14Kama mtu yeyote hatawakaribisha ninyi, wala kusikiliza maneno yenu, kungʼuteni mavumbi kutoka kwenye miguu yenu mtakapokuwa mnatoka kwenye nyumba hiyo au mji huo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.