Mathayo 10:5
Matthew 10:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa kumi na wawili, Yesu aliwatuma akawaagiza: “Msiende miongoni mwa watu wa Mataifa, wala msiingie mji wowote wa Wasamaria.
Matthew 10:5 in English
Matthew 10:5 · Berean Standard Bible
These twelve Jesus sent out with the following instructions: “Do not go onto the road of the Gentiles or enter any town of the Samaritans.
Context
3Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo; 4Simoni Mkananayo, na Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu. 5Hawa kumi na wawili, Yesu aliwatuma akawaagiza: “Msiende miongoni mwa watu wa Mataifa, wala msiingie mji wowote wa Wasamaria. 6Lakini afadhali mshike njia kuwaendea kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea. 7Wakati mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa Mbinguni umekaribia.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.