Native Bible

Matthew 10:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini afadhali mshike njia kuwaendea kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea.

Matthew 10:6 in English

Matthew 10:6 · Berean Standard Bible

Go rather to the lost sheep of Israel.

Context

4Simoni Mkananayo, na Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu. 5Hawa kumi na wawili, Yesu aliwatuma akawaagiza: “Msiende miongoni mwa watu wa Mataifa, wala msiingie mji wowote wa Wasamaria. 6Lakini afadhali mshike njia kuwaendea kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea. 7Wakati mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa Mbinguni umekaribia.’ 8Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo wachafu. Mmepata bure, toeni bure.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.