Mathayo 1:23
Matthew 1:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Tazama, bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, nao watamwita Jina lake Imanueli”: maana yake, “Mungu pamoja nasi.”
Matthew 1:23 in English
Matthew 1:23 · Berean Standard Bible
“Behold, the virgin will be with child and will give birth to a son, and they will call Him Immanuel”* (which means, “God with us”*).
Context
21Naye atamzaa mwana, nawe utamwita Jina lake Yesu,* kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.” 22Haya yote yalitukia ili litimie lile Bwana alilokuwa amenena kupitia nabii, akisema: 23“Tazama, bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, nao watamwita Jina lake Imanueli”: maana yake, “Mungu pamoja nasi.” 24Yosefu alipoamka kutoka usingizini, akafanya kama vile alivyoagizwa na malaika wa Bwana, akamchukua Maria kuwa mke wake. 25Lakini hawakukutana kimwili mpaka Maria alipojifungua mwanawe kifungua mimba akamwita Jina lake Yesu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.