Native Bible

Matthew 1:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Haya yote yalitukia ili litimie lile Bwana alilokuwa amenena kupitia nabii, akisema:

Matthew 1:22 in English

Matthew 1:22 · Berean Standard Bible

All this took place to fulfill what the Lord had said through the prophet:

Context

20Lakini mara alipoazimu kufanya jambo hili, malaika wa Bwana akamtokea katika ndoto na kusema, “Yosefu mwana wa Daudi, usiogope kumchukua Maria awe mke wako, kwa maana mimba aliyo nayo ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu. 21Naye atamzaa mwana, nawe utamwita Jina lake Yesu,* kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.” 22Haya yote yalitukia ili litimie lile Bwana alilokuwa amenena kupitia nabii, akisema: 23“Tazama, bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, nao watamwita Jina lake Imanueli”: maana yake, “Mungu pamoja nasi.” 24Yosefu alipoamka kutoka usingizini, akafanya kama vile alivyoagizwa na malaika wa Bwana, akamchukua Maria kuwa mke wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.