Luka 9:57
Luke 9:57 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote uendako.”
Luke 9:57 in English
Luke 9:57 · Berean Standard Bible
As they were walking along the road, someone said to Jesus, “I will follow You wherever You go.”
Context
55Yesu akageuka na kuwakemea, 56nao wakaenda kijiji kingine. 57Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote uendako.” 58Yesu akamjibu, “Mbweha wana mapango, nao ndege wa angani wana viota, lakini Mwana wa Adamu hana mahali pa kulaza kichwa chake.” 59Yesu akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.”
Mtu huyo akamjibu, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.