Luka 9:56
Luke 9:56 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nao wakaenda kijiji kingine.
Luke 9:56 in English
Luke 9:56 · Berean Standard Bible
And He and His disciples went on to another village.
Context
54Wanafunzi wake, yaani Yakobo na Yohana, walipoona hayo, wakasema: “Bwana, unataka tuagize moto kutoka mbinguni ili uwaangamize?” 55Yesu akageuka na kuwakemea, 56nao wakaenda kijiji kingine. 57Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote uendako.” 58Yesu akamjibu, “Mbweha wana mapango, nao ndege wa angani wana viota, lakini Mwana wa Adamu hana mahali pa kulaza kichwa chake.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.