Native Bible

Luke 9:55 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akageuka na kuwakemea,

Luke 9:55 in English

Luke 9:55 · Berean Standard Bible

But Jesus turned and rebuked them.*

Context

53lakini watu wa kijiji kile hawakumkaribisha kwa sababu alikuwa anakwenda zake Yerusalemu. 54Wanafunzi wake, yaani Yakobo na Yohana, walipoona hayo, wakasema: “Bwana, unataka tuagize moto kutoka mbinguni ili uwaangamize?” 55Yesu akageuka na kuwakemea, 56nao wakaenda kijiji kingine. 57Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote uendako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.