Luka 8:11
Luke 8:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu.
Luke 8:11 in English
Luke 8:11 · Berean Standard Bible
Now this is the meaning of the parable: The seed is the word of God.
Context
9Wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano huo. 10Naye akasema, “Ninyi mmepewa kufahamu siri za Ufalme wa Mungu, lakini kwa wengine nazungumza kwa mifano, ili,
“ ‘ingawa wanatazama, wasione;
ingawa wanasikiliza, wasielewe.’ 11“Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu. 12Zile zilizoanguka kando ya njia ni wale ambao husikia neno, naye ibilisi anakuja na kuliondoa neno kutoka mioyoni mwao, ili wasije wakaamini na kuokoka. 13Zile mbegu zilizoanguka kwenye mwamba ni wale ambao hulipokea neno kwa furaha wanapolisikia, lakini hawana mizizi. Wanaamini kwa muda mfupi, lakini wakati wa kujaribiwa huiacha imani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.