Luka 8:9
Luke 8:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano huo.
Luke 8:9 in English
Luke 8:9 · Berean Standard Bible
Then His disciples asked Him what this parable meant.
Context
7Nazo mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo ile miiba ikakua pamoja nazo, na kuisonga hiyo mimea. 8Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri. Zikaota na kuzaa mara mia moja zaidi ya mbegu alizopanda.”
Baada ya kusema haya, Yesu akapaza sauti, akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.” 9Wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano huo. 10Naye akasema, “Ninyi mmepewa kufahamu siri za Ufalme wa Mungu, lakini kwa wengine nazungumza kwa mifano, ili,
“ ‘ingawa wanatazama, wasione;
ingawa wanasikiliza, wasielewe.’ 11“Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.