Native Bible

Luke 7:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo, nakuambia, dhambi zake zilizokuwa nyingi zimesamehewa, kwani ameonyesha upendo mwingi. Lakini yule aliyesamehewa kidogo, hupenda kidogo.”

Luke 7:47 in English

Luke 7:47 · Berean Standard Bible

Therefore I tell you, because her many sins have been forgiven, she has loved much. But he who has been forgiven little loves little.”

Context

45Hukunisalimu kwa busu, lakini huyu mwanamke hajaacha kuibusu miguu yangu tangu nilipoingia. 46Hukunipaka mafuta kichwani mwangu, lakini yeye ameipaka miguu yangu manukato. 47Kwa hiyo, nakuambia, dhambi zake zilizokuwa nyingi zimesamehewa, kwani ameonyesha upendo mwingi. Lakini yule aliyesamehewa kidogo, hupenda kidogo.” 48Kisha akamwambia yule mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.” 49Lakini wale waliokuwa wameketi pamoja naye chakulani wakaanza kusemezana wao kwa wao, “Huyu ni nani ambaye hata anasamehe dhambi?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.