Native Bible

Luke 7:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wale waliokuwa wameketi pamoja naye chakulani wakaanza kusemezana wao kwa wao, “Huyu ni nani ambaye hata anasamehe dhambi?”

Luke 7:49 in English

Luke 7:49 · Berean Standard Bible

But those at the table began to say to themselves, “Who is this who even forgives sins?”

Context

47Kwa hiyo, nakuambia, dhambi zake zilizokuwa nyingi zimesamehewa, kwani ameonyesha upendo mwingi. Lakini yule aliyesamehewa kidogo, hupenda kidogo.” 48Kisha akamwambia yule mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.” 49Lakini wale waliokuwa wameketi pamoja naye chakulani wakaanza kusemezana wao kwa wao, “Huyu ni nani ambaye hata anasamehe dhambi?” 50Yesu akamwambia yule mwanamke, “Imani yako imekuokoa; nenda kwa amani.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.