Luka 24:4
Luke 24:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walipokuwa wanashangaa juu ya jambo hili, ghafula watu wawili waliokuwa wamevaa mavazi yanayongʼaa kama umeme wakasimama karibu nao.
Luke 24:4 in English
Luke 24:4 · Berean Standard Bible
While they were puzzling over this, suddenly two men in radiant apparel stood beside them.
Context
2Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka kwenye kaburi, 3lakini walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Yesu. 4Walipokuwa wanashangaa juu ya jambo hili, ghafula watu wawili waliokuwa wamevaa mavazi yanayongʼaa kama umeme wakasimama karibu nao. 5Wale wanawake, wakiwa na hofu, wakainamisha nyuso zao mpaka chini. Lakini wale watu wakawaambia, “Kwa nini mnamtafuta aliye hai miongoni mwa wafu? 6Hayuko hapa; amefufuka! Kumbukeni alivyowaambia alipokuwa bado yuko pamoja nanyi huko Galilaya kwamba:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.