Native Bible

Luke 24:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka kwenye kaburi,

Luke 24:2 in English

Luke 24:2 · Berean Standard Bible

They found the stone rolled away from the tomb,

Context

1Mnamo siku ya kwanza ya juma, alfajiri na mapema, wale wanawake walichukua yale manukato waliyokuwa wameyaandaa, wakaenda kaburini. 2Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka kwenye kaburi, 3lakini walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Yesu. 4Walipokuwa wanashangaa juu ya jambo hili, ghafula watu wawili waliokuwa wamevaa mavazi yanayongʼaa kama umeme wakasimama karibu nao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.