Native Bible

Luke 24:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mnamo siku ya kwanza ya juma, alfajiri na mapema, wale wanawake walichukua yale manukato waliyokuwa wameyaandaa, wakaenda kaburini.

Luke 24:1 in English

Luke 24:1 · Berean Standard Bible

On the first day of the week,* very early in the morning, the women came to the tomb, bringing the spices they had prepared.

Context

1Mnamo siku ya kwanza ya juma, alfajiri na mapema, wale wanawake walichukua yale manukato waliyokuwa wameyaandaa, wakaenda kaburini. 2Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka kwenye kaburi, 3lakini walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Yesu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.