Luka 24:26
Luke 24:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, haikumpasa Kristo* kuteswa kwa njia hiyo na kisha aingie katika utukufu wake?”
Luke 24:26 in English
Luke 24:26 · Berean Standard Bible
Was it not necessary for the Christ to suffer these things and then to enter His glory?”
Context
24Kisha baadhi ya wenzetu walikwenda kaburini wakalikuta kama vile wale wanawake walivyokuwa wamesema, lakini yeye hawakumwona.” 25Yesu akawaambia, “Ninyi ni wajinga kiasi gani, nanyi ni wazito mioyoni mwenu kuamini mambo yote yaliyonenwa na manabii! 26Je, haikumpasa Kristo* kuteswa kwa njia hiyo na kisha aingie katika utukufu wake?” 27Naye akianzia na Sheria ya Mose na Manabii wote, akawafafanulia jinsi Maandiko yalivyosema kumhusu yeye. 28Nao walipokaribia kile kijiji walichokuwa wakienda, Yesu akawa kama anaendelea mbele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.