Luka 24:25
Luke 24:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akawaambia, “Ninyi ni wajinga kiasi gani, nanyi ni wazito mioyoni mwenu kuamini mambo yote yaliyonenwa na manabii!
Luke 24:25 in English
Luke 24:25 · Berean Standard Bible
Then Jesus said to them, “O foolish ones, how slow are your hearts to believe all that the prophets have spoken!
Context
23lakini hawakuukuta mwili wake. Walirudi wakasema wameona maono ya malaika ambao waliwaambia kwamba Yesu yu hai. 24Kisha baadhi ya wenzetu walikwenda kaburini wakalikuta kama vile wale wanawake walivyokuwa wamesema, lakini yeye hawakumwona.” 25Yesu akawaambia, “Ninyi ni wajinga kiasi gani, nanyi ni wazito mioyoni mwenu kuamini mambo yote yaliyonenwa na manabii! 26Je, haikumpasa Kristo* kuteswa kwa njia hiyo na kisha aingie katika utukufu wake?” 27Naye akianzia na Sheria ya Mose na Manabii wote, akawafafanulia jinsi Maandiko yalivyosema kumhusu yeye.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.