Luka 22:21
Luke 22:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami.
Luke 22:21 in English
Luke 22:21 · Berean Standard Bible
Look! The hand of My betrayer is with Mine on the table.
Context
19Kisha akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa, akisema, “Huu ni mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.” 20Vivyo hivyo baada ya kula, akakitwaa kikombe, akisema, “Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, imwagikayo kwa ajili yenu. 21Lakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami. 22Mwana wa Adamu anaenda zake kama ilivyokusudiwa. Lakini ole wake mtu huyo amsalitiye.” 23Wakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.