Native Bible

Luke 22:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo.

Luke 22:23 in English

Luke 22:23 · Berean Standard Bible

Then they began to question among themselves which of them was going to do this.

Context

21Lakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami. 22Mwana wa Adamu anaenda zake kama ilivyokusudiwa. Lakini ole wake mtu huyo amsalitiye.” 23Wakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo. 24Pia yakazuka mabishano katikati ya wanafunzi kwamba ni nani aliyeonekana kuwa mkuu kuliko wote miongoni mwao. 25Yesu akawaambia, “Wafalme na watu wa Mataifa huwatawala watu kwa nguvu. Nao wenye mamlaka juu yao hujiita ‘Wafadhili.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.