Luka 20:5
Luke 20:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakahojiana wao kwa wao wakisema, “Kama tukisema, ‘Ulitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Mbona hamkumwamini?’
Luke 20:5 in English
Luke 20:5 · Berean Standard Bible
They deliberated among themselves and said, “If we say, ‘From heaven,’ He will ask, ‘Why did you not believe him?’
Context
3Akawajibu, “Nami nitawauliza swali. 4Je, ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni au kwa wanadamu?” 5Wakahojiana wao kwa wao wakisema, “Kama tukisema, ‘Ulitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Mbona hamkumwamini?’ 6Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’ watu wote watatupiga mawe, kwa sababu wanaamini kwamba Yohana alikuwa nabii.” 7Basi wakajibu, “Hatujui ulikotoka.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.