Luka 20:4
Luke 20:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni au kwa wanadamu?”
Luke 20:4 in English
Luke 20:4 · Berean Standard Bible
John’s baptism—was it from heaven, or from men?”
Context
2Wakamuuliza, “Tuambie, unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Ni nani aliyekupa mamlaka haya?” 3Akawajibu, “Nami nitawauliza swali. 4Je, ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni au kwa wanadamu?” 5Wakahojiana wao kwa wao wakisema, “Kama tukisema, ‘Ulitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Mbona hamkumwamini?’ 6Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’ watu wote watatupiga mawe, kwa sababu wanaamini kwamba Yohana alikuwa nabii.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.