Luka 20:7
Luke 20:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi wakajibu, “Hatujui ulikotoka.”
Luke 20:7 in English
Luke 20:7 · Berean Standard Bible
So they answered that they did not know where it was from.
Context
5Wakahojiana wao kwa wao wakisema, “Kama tukisema, ‘Ulitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Mbona hamkumwamini?’ 6Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’ watu wote watatupiga mawe, kwa sababu wanaamini kwamba Yohana alikuwa nabii.” 7Basi wakajibu, “Hatujui ulikotoka.” 8Yesu akawaambia, “Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani ninatenda mambo haya.” 9Akaendelea kuwaambia watu mfano huu: “Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima fulani, kisha akasafiri kwa muda mrefu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.