Native Bible

Luke 2:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye Yesu akakua katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.

Luke 2:52 in English

Luke 2:52 · Berean Standard Bible

And Jesus grew in wisdom and stature, and in favor with God and man.

Context

50Lakini wao hawakuelewa maana ya lile alilowaambia. 51Ndipo akashuka pamoja nao hadi Nazareti, naye alikuwa mtiifu kwao. Lakini mama yake akayaweka moyoni mwake mambo haya yote. 52Naye Yesu akakua katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.