Native Bible

Luke 2:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wao hawakuelewa maana ya lile alilowaambia.

Luke 2:50 in English

Luke 2:50 · Berean Standard Bible

But they did not understand the statement He was making to them.

Context

48Yosefu na Maria mama yake walipomwona walishangaa. Mama yake akamuuliza, “Mwanangu, mbona umetufanyia hivi? Tazama, mimi na baba yako tumekuwa tukikutafuta kwa wasiwasi mkubwa kila mahali.” 49Yesu akawaambia, “Kwa nini kunitafuta? Hamkujua kwamba imenipasa kuwa katika nyumba ya Baba yangu?” 50Lakini wao hawakuelewa maana ya lile alilowaambia. 51Ndipo akashuka pamoja nao hadi Nazareti, naye alikuwa mtiifu kwao. Lakini mama yake akayaweka moyoni mwake mambo haya yote. 52Naye Yesu akakua katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.