Native Bible

Luke 2:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo akashuka pamoja nao hadi Nazareti, naye alikuwa mtiifu kwao. Lakini mama yake akayaweka moyoni mwake mambo haya yote.

Luke 2:51 in English

Luke 2:51 · Berean Standard Bible

Then He went down to Nazareth with them and was obedient to them. But His mother treasured up all these things in her heart.

Context

49Yesu akawaambia, “Kwa nini kunitafuta? Hamkujua kwamba imenipasa kuwa katika nyumba ya Baba yangu?” 50Lakini wao hawakuelewa maana ya lile alilowaambia. 51Ndipo akashuka pamoja nao hadi Nazareti, naye alikuwa mtiifu kwao. Lakini mama yake akayaweka moyoni mwake mambo haya yote. 52Naye Yesu akakua katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.