Luka 18:27
Luke 18:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akajibu, “Yasiyowezekana kwa wanadamu yanawezekana kwa Mungu.”
Luke 18:27 in English
Luke 18:27 · Berean Standard Bible
But Jesus said, “What is impossible with man is possible with God.”
Context
25Hakika ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu.” 26Wale waliosikia haya wakauliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?” 27Yesu akajibu, “Yasiyowezekana kwa wanadamu yanawezekana kwa Mungu.” 28Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha vyote tulivyokuwa navyo tukakufuata!” 29Yesu akajibu, “Amin, nawaambia, hakuna hata mtu aliyeacha nyumba yake, au mke, au ndugu, au wazazi au watoto kwa ajili ya Ufalme wa Mungu
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.