Luka 18:26
Luke 18:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale waliosikia haya wakauliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”
Luke 18:26 in English
Luke 18:26 · Berean Standard Bible
Those who heard this asked, “Who then can be saved?”
Context
24Yesu akamtazama, akasema, “Tazama jinsi ilivyo vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu! 25Hakika ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu.” 26Wale waliosikia haya wakauliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?” 27Yesu akajibu, “Yasiyowezekana kwa wanadamu yanawezekana kwa Mungu.” 28Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha vyote tulivyokuwa navyo tukakufuata!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.