Native Bible

Luke 13:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati huo huo akaja mwanamke mmoja aliyekuwa na pepo mchafu, naye alikuwa amepinda mgongo kwa muda wa miaka kumi na minane, wala alikuwa hawezi kunyooka wima.

Luke 13:11 in English

Luke 13:11 · Berean Standard Bible

and a woman there had been disabled by a spirit for eighteen years. She was hunched over and could not stand up straight.

Context

9Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vyema, la sivyo uukate.’ ” 10Basi Yesu alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato. 11Wakati huo huo akaja mwanamke mmoja aliyekuwa na pepo mchafu, naye alikuwa amepinda mgongo kwa muda wa miaka kumi na minane, wala alikuwa hawezi kunyooka wima. 12Yesu alipomwona, akamwita, akamwambia, “Mwanamke, uwe huru, umepona ugonjwa wako.” 13Yesu alipomwekea mikono yake, mara akasimama wima akaanza kumtukuza Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.