Native Bible

Luke 13:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vyema, la sivyo uukate.’ ”

Luke 13:9 in English

Luke 13:9 · Berean Standard Bible

If it bears fruit next year, fine. But if not, you can cut it down.’”

Context

7Hivyo akamwambia mtunza shamba: ‘Tazama, kwa muda wa miaka mitatu sasa nimekuwa nikija kutafuta matunda kwenye mtini huu, nami sikupata hata moja. Ukate! Kwa nini uendelee kuharibu ardhi?’ 8“Yule mtunza shamba akamjibu, ‘Bwana, uache tena kwa mwaka mmoja zaidi, nami nitaupalilia na kuuwekea mbolea. 9Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vyema, la sivyo uukate.’ ” 10Basi Yesu alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato. 11Wakati huo huo akaja mwanamke mmoja aliyekuwa na pepo mchafu, naye alikuwa amepinda mgongo kwa muda wa miaka kumi na minane, wala alikuwa hawezi kunyooka wima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.