Luka 13:10
Luke 13:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi Yesu alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato.
Luke 13:10 in English
Luke 13:10 · Berean Standard Bible
One Sabbath Jesus was teaching in one of the synagogues,
Context
8“Yule mtunza shamba akamjibu, ‘Bwana, uache tena kwa mwaka mmoja zaidi, nami nitaupalilia na kuuwekea mbolea. 9Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vyema, la sivyo uukate.’ ” 10Basi Yesu alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato. 11Wakati huo huo akaja mwanamke mmoja aliyekuwa na pepo mchafu, naye alikuwa amepinda mgongo kwa muda wa miaka kumi na minane, wala alikuwa hawezi kunyooka wima. 12Yesu alipomwona, akamwita, akamwambia, “Mwanamke, uwe huru, umepona ugonjwa wako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.