Luka 12:32
Luke 12:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Msiogope enyi kundi dogo, kwa maana Baba yenu ameona vyema kuwapa ninyi Ufalme.
Luke 12:32 in English
Luke 12:32 · Berean Standard Bible
Do not be afraid, little flock, for your Father is pleased to give you the kingdom.
Context
30Watu wa mataifa ya duniani husumbuka sana kuhusu vitu hivi vyote, lakini Baba yenu anafahamu kuwa mnahitaji haya yote. 31Bali utafuteni Ufalme wa Mungu, na haya yote atawapa pia. 32“Msiogope enyi kundi dogo, kwa maana Baba yenu ameona vyema kuwapa ninyi Ufalme. 33Uzeni mali zenu mkawape maskini. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, mkajiwekee hazina mbinguni isiyokwisha, mahali ambapo mwizi hakaribii wala nondo haharibu. 34Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.