Native Bible

Luke 12:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bali utafuteni Ufalme wa Mungu, na haya yote atawapa pia.

Luke 12:31 in English

Luke 12:31 · Berean Standard Bible

But seek His * kingdom, and these things will be added unto you.

Context

29Wala msisumbuke mioyoni mwenu mtakula nini au mtakunywa nini. Msiwe na wasiwasi juu ya haya. 30Watu wa mataifa ya duniani husumbuka sana kuhusu vitu hivi vyote, lakini Baba yenu anafahamu kuwa mnahitaji haya yote. 31Bali utafuteni Ufalme wa Mungu, na haya yote atawapa pia. 32“Msiogope enyi kundi dogo, kwa maana Baba yenu ameona vyema kuwapa ninyi Ufalme. 33Uzeni mali zenu mkawape maskini. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, mkajiwekee hazina mbinguni isiyokwisha, mahali ambapo mwizi hakaribii wala nondo haharibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.