Luka 12:34
Luke 12:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia.
Luke 12:34 in English
Luke 12:34 · Berean Standard Bible
For where your treasure is, there your heart will be also.
Context
32“Msiogope enyi kundi dogo, kwa maana Baba yenu ameona vyema kuwapa ninyi Ufalme. 33Uzeni mali zenu mkawape maskini. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, mkajiwekee hazina mbinguni isiyokwisha, mahali ambapo mwizi hakaribii wala nondo haharibu. 34Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia. 35“Kuweni tayari mkiwa mmevikwa kwa ajili ya huduma na taa zenu zikiwa zinawaka, 36kama watumishi wanaomngojea bwana wao arudi kutoka kwenye karamu ya arusi, ili ajapo na kubisha mlango waweze kumfungulia mara.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.